Sasa si tatizo tena kwa mtu yeyote aliyekosa kuona picha au video za harusi ya Vestine, kwa sababu anaweza kuzitazama kupitia video ya wimbo mpya wa Vestine na Dorcas uitwao “Emmanuel”, uliozinduliwa rasmi tarehe 17 Julai 2025.
Wimbo huu ni wa kuabudu, wenye ujumbe mzito unaomshukuru Mungu kwa kuwa pamoja na waamini hata katika hali zisizotarajiwa. Ujumbe wa wimbo unasikika ukiimba: Ulinielewa pale ambapo hakuna aliyenielewa.
Ndani ya video hiyo, kuna sehemu zinazoonyesha mandalizi ya harusi ya Vestine, akiingia kanisani, akisaini cheti cha ndoa mbele ya sheria, na pia sherehe mbalimbali zilizofuatia tukio hilo.
Mashabiki wao wengi walifurahia sana kuona picha hizo, hasa kwa kuwa ingawa harusi ilizungumziwa sana kwenye mitandao ya kijamii, bado video ya wimbo huu ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa. Kwa hivyo, wimbo “Emmanuel” umepata mapokezi mazuri sana kwani wengi wanautazama kama “wimbo na video ya harusi kwa pamoja.”
Vestine na Dorcas ni miongoni mwa wasanii wa injili wanaoheshimika sana nchini Rwanda, na kazi yao hii mpya Emmanuel inaonekana kuongeza zaidi nafasi yao katika muziki wa injili. Inatarajiwa kuvutia watu wengi kutokana na ujumbe wake wa tumaini pamoja na picha zenye hisia kali za tukio la harusi.
Lyrics – Emmanuel (Vestine na Dorcas)
Verse 1:
Kwa upande wako nitasimama himara
Hata marafiki wanitenge
kila mahali nizatungukwa na neema
nitazidiwa na nyimbo za sifa
Nimeona waliopondwa wamerejeshwa tena
waliocoka hupata nguvu mpya
Roho tasa ziriokorewa kwa pumzi wako takatifu
Kwa kila ajabu uliofanya, niliona sababu za kukuabudu.
kwenye kila chozi oliyofuta kuna ishara ya uku wako
Ukiishi nami Yesu
Nimuogope nani Yesu
Askari wangu Hodari x2
Bila masharti ulinichaguwa
ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel
siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina x2
Kwa Juu yangu
ooooooh Niligonga mlango
Ooooooh ukanifunguliya
Ooooh I will Glorify you
I ‘go lift you high
kwa uhuru nimepata
Verse 2:
umekaa nami katika zhoruba
kupitia mwoto tumekuwa pamoja
myoyo yetu ilijaliwa na Woga.
huruma yako ikanikomboa
upendo wako ni ngao yangu
Golliati hatanizowea
Ushindi wako ni fahari yangu
Fimbo yako inaniongoza
Mwana kondo mwenye miujiza
Ushindi wako ni fahari yangu
kwa kila ajabu uliofanya.
Niliona sababu za kukuabudu.
kwenye kila chozi oliyofuta
kuna ishara ya uku wako
Ukiishi nami Yesu
Nimuogope nani Yesu
Askari wangu Hodari x2
Bila masharti ulinichaguwa
Ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel
Siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina
Kwa juu yangu
ooooooh Niligonga mlango
ooooooh ukanifunguliya
Ooooh I will Glorify you
I ‘go lift you high
kwa uhuru nimepata
Kwa pleasure na Sorrow through every hollow
I will always walk in steps you called me to follow
katika kila tatizo iwe kubwa ao dogo nitaweka Imani yangu yote kwako
kwa kila ajabu uliofanya.
Niliona sababu za kukuabudu.
kwenye kila chozi oliyofuta
kuna ishara ya uku wako
Ukiishi nami Yesu
Nimuogope nani Yesu
Askari wangu Hodari x2
Bila masharti ulinichaguwa
Ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel
Siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina
Kwa juu yangu
ooooooh Niligonga mlango
ooooooh ukanifunguliya
Ooooh I will Glorify you
I ‘go lift you high
kwa uhuru Nimepata
kwa kila ajabu uliofanya.
Niliona sababu za kukuabudu.
kwenye kila chozi oliyofuta
kuna ishara ya uku wako
Ukiishi nami Yesu
Nimuogope nani Yesu
Askari wangu Hodari
Bila masharti ulinichaguwa
Ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel
Siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina
Kwa juu yangu
ooooooh Niligonga mlango
ooooooh ukanifunguliya
Ooooh I will Glorify you
I ‘go lift you high
kwa uhuru Nimepata
TAZAMA WIMBO HUU “EMMANUEL” KWA VESTINE NA DORCAS KWENYE YOUTUBE SASA – BARIKIWA NA UUSHIRIKISHE NA WENGINE!