× Home Ministries Choirs Pastors Bible Entertainment Development Health Love Fashion Music

Tanzania: Ngazi ya Safari Ndefu ya Maisha ya Evanjelisti Ezechiel


Tanzania: Ngazi ya Safari Ndefu ya Maisha ya Evanjelisti Ezechiel

Safari ya uinjilisti ya Ev. Ezechiel kutoka Tanzania.

Paradise.rw: EZÉCHIEL NI NANI?

Ev. Ezechiel: Naitwa NSHIMIRIMANA Ézéchiel JAMES nilizaliwa mwaka 10/09/1987 siku ya alhamisi, Mkowani BUBANZA, Wilayani MUSIGATI, Tarafani MUSIGATI, Jimbo MUGOMBARIMA, Mtaa wa MUZI.

Ni mtoto wa Kwanza kwa BABA na MAMA. Tuko watoto 12 kwa pande zote mbili kwa sababu Baba na Mama waliachana nikiwa na miaka 3. Kwahio kwa Mama tuko wa 5 kwa Baba tuko 7.

Paradise.rw: JE EZÉCHIEL AMESOMA?

Ev. Ezechiel: Nilihitimu masomo ya Utangazaji kwa Diploma ya Baccalauréat Professionnel. Na nilifanya mazoezi kwa Station Radio zifuatazo RTNB, RSN.

TV kwenye mtandao ni Ecobus TV. Nilisoma tena computer Application Dar Es Salam Tanzania. Nilifanya kazi ya kuigiza kwenye Steps Entertainment Copmuny LMD tanzania. Nikafanya tena kwenye Bongo woody movies, na Shamba Academy zote ni kampuni za Dar Es Salama.

Paradise.rw: AMEANZA MZIKI LINI?

Ev. Ezechiel: Nilianza mziki mwaka 2011 mziki ulitoka kwa jina la Wajua, kwa producer DJ Kolly the magic. Likini kabla yahapo nilitengeze film ilitoka kwa jina GIZA LA PINZI (NIKIWA NA MAREHEMU MKE WA NZIZA DESIRE msani wa muziki wa Burundi Bijoux: a.k Vick na nikiwa ni mebeba Nina la James) mwaka 2008 mwezi 2. Mwaka huo huo nikatoa tena nyingine PENZI LA KWELI.

Mwaka 2013 ndio nilianza nyimbo za Injiri nikiwa Dar Es Salam kwa Producer Mike ndani studio AM Music. Nyimbo ya kwanza na julikana kwa jina la SHIMWA MWAMI. Hapo hapo nikatengeneza nyingine Inajulikana kwa jina la NAMANIBAZA.

Baada ya hapo nilienda Chuo cha injiri nikasoma mwaka 2013/7/29 ndipo nilitiwa Mafuta ya Uinjilist katika kanisa La Apostolique du Réveil au Monde, mwaka 2016 nilienda kama Missionnary wa kanisa Tanzania,

Mwaka 2017 nilipea kuwa Secrétaire Exécutif wa Kanisa. Mwaka huyo huyo 2017/09/30 ndipo niloa nikafanya Harusi na NSHIMIRIMANA Estella. Mwaka 2021 nika tiwa mafuta ya kuongoza kanisa kama Mwalimu kiongozi wa kanisa.

Paradise.rw: LINI AMEMUPOKEA BWANA YESU KRISTO?

Ev. Ezechiel: Lakini kupokea Okovu nilipokea Okovu mwaka 2003 na ndipo nilibatizwa kwa maji mengi. Tarehe 25/12/2003. Kwa sasa bwana EZÉCHIEL ni baba wa watoto watatu na mke mmoja.

Habari imetungwa na FURAHA NAHIMANA MUGISHA

Tanga igitekerezo kuri iyi nkuru

pre-moderation

This forum is pre-moderated: your contribution will only appear after being validated by an admin.

Who are you?
Your post

To create paragraphs, just leave blank lines.