× Home Ministries Choirs Pastors Bible Entertainment Development Health Love Fashion Music

Sarah Adam anaenda kutuachia Wimbo mzuri Leo jioni Jitayarishe kuupokea

Category: International News  »  January 2024 »  Alice Uwiduhaye

Sarah Adam anaenda kutuachia Wimbo mzuri Leo jioni Jitayarishe kuupokea

Mwabudu anaependwa na Mungu na watu ,pia akabarikiwa na Mungu Sarah Adam yeye anaenda kutuachia Wimbo mpya mzuri uitwayo "Teta Nao". Wimbo huu utapatikana saa tatu Jioni (9:00 Pm).

Mwabudu huyu Sarah Adam ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za kumsifu Mungu. Yeye anatoka nchini Tanzania, Dar es salama pia ni mtumishi wa Mungu huyu mschana anapatikana katika mziki wa nyimbo za injili.

Katika Wimbo huyu "Teta nao" alisema "Mungu apigane na Adui zaidi zangu. Vita nipo katika maisha ya MWANADAMU bila Mungu hatuwezi kwahiyo ni kumkabidhi Mungu kila jambo ashughulike nayo". Wimbo huyu ni mzuri sana, yeye aliwafariji watu na kutoogopa kwani Mungu atapigana na madui wa mwanadamu.

Alitaka kuwaambia watu kusisimama lmara, wasiogope maadui wao ,ingawaje vita ni Kali sana lakini wasonge mbere, wakaze mwendo, wasitishwe na madui.

Katika Ullimwengu huu ni hatari kuishi bila Kuendana na Bwana Yesu kwani ndiye Afande, aliyeshinda kifo, akainuliwa akatushindia mfalme huyu, Kila siku tutangaze ushindi wetu, msiogope siku itafika tunapaswa kuwa na matumaini.

Sarah Adam ana Albam 3, mwimbaji huyu alijulikana sana kwa nyimbo yofauti za kumsifu Mungu. Watu wengi wana hamu ya kutaka kujua wimbo huu mzuri wa Sarah.

Alipozungumza hivi karibuni na gazeti la Paradise.rw alisema haya " Wimbo wangu wa kwanza kuutoa ni mwaka 2012 ndio Mungu alitimiza kusudi lake ndani yangu la kuanza kumtumikia katika karama ya wimbaji.

Mimi nilikuwa napenda kuimba, jambo hakuwa sana na sikufahamu kama nitakuwa na huo wimbo binafsi wa kumwimbia Mungu maana niliimba katika kwaya ya kanisa ambalo nilikuwa Nasali, na kanisa lilikuwa chini ya mchungaji Adam ambaye ni babu yangu aliyemzaa baba yangu.

Tena nawaambia tu naomba support zao kupokea huu wimbo wangu mpya zaidi sana waendelee kunifatilia kupitia channel yangu ya YouTube....

Kwa majina Ya Sarah Adam Song

Tanga igitekerezo kuri iyi nkuru

pre-moderation

This forum is pre-moderated: your contribution will only appear after being validated by an admin.

Who are you?
Your post

To create paragraphs, just leave blank lines.