Israel Mbonyi ambaye ni mmoja wa wanabudu wakubwa nchini Rwanda na Africa mashariki, sasa anaenda kutoa wimbo uitwayo "Heri Taifa".
Sasa watu wengi Wana hamu ya kusikia wimbo mpya wa lsrael Mbonyi ametoa. Ni wimbo umekuja nje kwenye tarehe ya 30 Julai 2024 saa tatu na nusu( 9:30Am).
Maneno ya wimbo huu ni haya
Nikasikia sauti nyikani
Tengenezeni njiya yake,
nyosheni mapito yake
Sogeleeni kiti cha neema
Mpate utakaso
Oh what a blessing
Oh what a grace
Heri aoshae (afuae),
Kanzu yake ndani ya damu
Akiliamini neno alilo ambiwa nae
Atakua kama Mti kando ya maji
Majani yake huyo,
Yatakua ma bichi daima.
Chorus:
Heri walio na hilo agano
Wanaye Mungu Kama mwokozi wao
Watasitawi nyumbani mwake
Hao wataitwa wana wa upendo.
Tutasitawi nyumbani mwake
Sisi, tutaitwa wana waupendo
Verse:
moyo wangu, Sifu mungu
sifu mungu sifu mungu
– Nuru ilikuangaziya We Uliye mpole,
Utairithi inchi, Utafarijiwa
– Nuru ilikuangaziya mwenye moyo safi Utabarikiwa, Utamuona mungu
Bridge:
Heri taifa ambalo Bwana ni mungu wao,
Ni wana wa upendo
Aliyo wachagulia, kuwa urithi wake.
Kwa mwezi uliopita kwenye tarehe ya 17 Juni 2024 ndipo mwabudu huyu ametoa wimbo unaoitwa ndipo mfalme wa wimbaji nchini Rwanda katika Injili alitoa wimbo mpya unaoitwa "Yeriko". Ni wimbo unaoundwa na lugha mbili ya kwanza ni kiswahili ya pili ni kinyarwanda.
Watu wengi wamefurahia wimbo mpya wa lsrael Mbonye ametoa nje