Kwa siku chache zilizopita ndipo Mwabudu Sarah Adam alitoa Wimbo mpya uitwayo "Teta Nao". Msimsumbue, amekuja mumpe njia amtumikiye Mungu na bendera itapandishwa.
Wimbo huu ni maarufu uliwapendeza mashabiki wa Sarah Adam kwani ina maneno mazuri sana. Sasa mwabudu huyu ametangaza kwamba ana Wimbo mpya uitwayo "Nikumbuke Bwana". Haya ameyaweka kwenye YouTube kwamba utapatikana kwenye tarehe ya 7 Februari 2024 saa kumi na moja asubuhi.
Nyimbo za mwimbaji huyu watu wanazipenda kwani zina Ujumbe kabisa .Sarah Adam yeye ni Maarufu huko nchini Tanzania. Wakati alipoweka nje "Teta Nao" Top Tv walimualika walimshukuru sana na kumuambia yeye ana nywele nzuri sana . Naye aliwashukuru kwa kumualika huko.
Sarah ni msichana yeye alimtumikia Mungu kwa umri wa miaka chache,aliyejulikana kwa nyimbo za kumsifu Mungu.
Kile anachowaambia mashabiki wake ni kwamba wamtafute Mungu kwa bidii na kuweka tumaini lao kwa Mungu aliye juu maana yeye ndio chanzo cha baraka,uhai,mafanikio ndani ya maisha yetu na kama anachosema yeye kuwa yasiyowezekana kwa wanadamu kwa Mungu yanawezekana;
Luka 1:37 Maisha ni fumbo, maisha ni kupanda na kusuka maisha ni Milima na mabonge, majaribu na raha changamoto na mengine mengi lakini utanindaje yote hayo ni kuweka Tumaini lako kwa Mungu naye atathibitika Kwako.
Ukiona Wimbo ule ni lazima msada wako kama Sarah alivyosema kuwa "nawaambia tu naomba support zao kupokea huu wimbo wangu mpya zaidi sana waendelee kunifatilia kupitia channel yangu ya YouTube....