Marie Immaculée Ingabire, Aliyependa Sana Kusali na Aliyeyachukia kwa Dhati Rushwa na Uonevu, Amefariki Dunia
Asubuhi ya Alhamisi, tarehe 9 Oktoba 2025, taifa la Rwanda lilipatwa na huzuni kubwa baada ya taarifa za kifo cha Marie Immaculée Ingabire, aliyekuwa Mwenyekiti wa Transparency International Rwanda, shirika linalopambana na rushwa na ukosefu wa (…)