Israel Mbonyi kupanua muziki wake kimataifa kupitia wimbo wa Kiingereza ‘No Doubt’
Msanii mashuhuri wa nyimbo za Injili, Israel Mbonyi, anayejulikana sana kwa nyimbo zake za Kinyarwanda na Kiswahili, sasa anapanua wigo wa muziki wake nje ya mipaka ya eneo lake. Ameandaa wimbo mpya wa Kiingereza uitwao No Doubt, wenye ujumbe (…)