× Home Ministries Choirs Pastors Bible Entertainment Development Health Love Fashion Music

Tena lsrael Mbonyi amerudi katika wimbo unaoyitwa "Amenisamehe"

Category: International News  »  November 2023 »  Alice Uwiduhaye

Tena lsrael Mbonyi amerudi katika wimbo unaoyitwa "Amenisamehe"

Mbonyicyambu lsrael ni mwimbaji kutoka nchi ya Rwanda, yeye anaimba nyimbo za kumuabudu na kumsifu Mungu. Mwimbaji huyu alijulukana kwa jina la lsrael Mbonyi.

Bada ya kupa wapenzi wake wimbo unayoitwa "Nita Amini" Tena ametupa wimbo uitwayo "Amenisamehe "Ni wimbo mzuri sana alitumia maneno magumu yenye akili nyingi sana.

Kijana huyu ambaye ameweka historia katika muziki wa Injili amedhamiria kutowasaliti mashabiki wake

Leo Novemba 23, 2023 Israel Mbonyi amewaachia mashabiki wake wimbo alioutengeneza kwa lugha ya kigeni uitwao “Amenisamehe” . Ni wimbo aliouchukua kutoka kwa lugha ya Kinyarwanda na kuuweka kwa Kiswahili uitwayo"Yankuyeho urubanza".

Wimbo huu una maneno:

Damu yake iliyomwagika imeshinda hukumu yote,lmeniweka huru tele ninaimba nimesamehewa Ameniwaka huru télé Ninaimba Amenisamehe.

Katika wimbo huu anaeleza umuhimu wa Damu ya Mwokozi Yesu .Yaani alipewa huru hususan alisamehewa .

Nyimbo zake lsrael Mbonyi zinapendeza sana na kujulikana nchi yetu pamoja na nje kama Nina Siri na nyingine.

Tanga igitekerezo kuri iyi nkuru

pre-moderation

This forum is pre-moderated: your contribution will only appear after being validated by an admin.

Who are you?
Your post

To create paragraphs, just leave blank lines.