× Home Ministries Choirs Pastors Bible Entertainment Development Health Love Fashion Music

Msanii Bosco Nshuti sasa naye amekuja kwa Wimbo wa kiswahili unaoitwa "Amenipitia"

Category: International News  »  March 2024 »  Alice Uwiduhaye

Msanii Bosco Nshuti sasa naye amekuja kwa Wimbo wa kiswahili unaoitwa "Amenipitia"

Msanii Bosco Nshuti akifanya uinjilisti kwa njia ya nyimbo katika kanisa la ADEPR, Kijiji cha Kumukenke Parokia ya Gasave. Si hivyo tu, Bosco Nshuti ni miongoni mwa wasanii wenye sifa kubwa katika muziki wa kuabudu na kumsifu Mungu.

Mwimbaji huyu Nshuti Bosco ni miongoni mwa wasanii wanaopendwa sana siku hizi, kama unavyoona kutokana na mialiko anayopokea kila siku kwa shoo mbalimbali, Sasa wanamsuburi katika Tamasha linaloundwa na Jado Sinza "Redemption Live Concert" Sio hivyo tu bali pia alishinda Tuzo za Groove Rwanda, ambapo alishinda msanii bora wa mwaka wa 2018.

Mwimbaji huyu ana Wimbo mpya utakaopatikana kwenye karehe ya 13 Mechi mwaka huu (2024) saa tanu za asubuhi . Ni Wimbo unaoitwa "Amenipitia".

Katika Wimbo huu anaanza akasema "Na mimi niko katika wale ambao amewapitia nikiwa na uzuni akanirehemu kwa upendo akaniokowa nakuniponya amelipa deni zangu zote.

Akaendelea :" Upendo usie fananishwa rehema ambazo hazi ishi hayo ndiyo Mufalme wangu alinionyesha pale nilikuwa sina wakunijali wandishi na makuhani wote wamenipitia wakaondoka yeye alipo nipitiya na upendo mwingi akanirehemu kwa fadhili.

Tena anaendelea: "Aliniponya kwa mafuta ya garama kubwa Akafunika jeraha zote nilikuwanazo.

Kwa hitimisho akasema: "Nitaimba upendo wa Mwokozi ulionitowa gizani nitajivuniya musaraba wa Yesu".

Bosco Nshuti ni Maarufu kwa nyimbo kama "Ibyo ntunze"," yakunzwe bihebuje", "Umutima", "Utuma nishima", "Ngoswe n’ingabo", "Uranyumva", "Ntacyantandukanya", "Nzamuzura", "Ni wowe", "Dushimire", "Isaha y’Imana" na "Ni muri Yesu", "lnkuru y’urukundo", "Uri uwange", "Nyingine", ...

Tanga igitekerezo kuri iyi nkuru

pre-moderation

This forum is pre-moderated: your contribution will only appear after being validated by an admin.

Who are you?
Your post

To create paragraphs, just leave blank lines.