× Home Ministries Choirs Pastors Bible Entertainment Development Health Love Fashion Music

Baada ya kutikisa Ubelgiji, lsrael Mbonyi ametoa wimbo uitwayo "Yeriko"

Category: International News  »  June 2024 »  Alice Uwiduhaye

Baada ya kutikisa Ubelgiji, lsrael Mbonyi ametoa wimbo uitwayo "Yeriko"

Katika siku chache zilizopita mwabudu lsrael mbonye amehudhuria tamasha aliloalikwa katika Bruxelles nchini Ubelgiji.

Tamasha lilithibitishwa na Justin Karekezi ambaye anaiwakilisha kampuni ya ’Tema Production’ inayosifika kwa kualika wasanii mbalimbali lilifanyika 08 Juni 2024.

Leo, kwenye tarehe ya 17 Juni 2024 ndipo mfalme wa wimbaji nchini Rwanda katika Injili alitoa wimbo mpya unaoitwa " Yeriko ". Ni wimbo unaoundwa na lugha mbili ya kwanza ni kiswahili ya pili ni kinyarwanda.

Anaanza kwa kuimba : Tumekuwa na muda tukiomba , tukikuomba uyatimize,.. Asante..
Asante Bwana kuyatoa yaliotulemea,..
Sasa tazama milango yote imefunguka,..
Asante ..Asante Bwana kuyatoa yaliotulemea,..

Njooni mtazame Yeriko ,Kuta zinaanguka
Shangilieni, lmbeni kwa Shangwe, Hizo zaanguka, Twaingia kwa Sifa, Ndani ya agano,Kuta zaanguka.Muze murebe Yeriko ,inkike ziraguye,ngizo ziraguye mutere hejuru muririmbe,ngizo ziraguye twinjiranye amashimwe mu masezerano".

Wimbo huu mpya umekuja baada ya kutoa Wimbo unaoitwa " Sikiliza" . Ni Wimbo mzuri wa lsrael Mbonyi . Yeriko ni wimbo mzuri ndani ya siku moja wimbo huu tayari umepata maoni 77,368( Views).Israel Mbonyi alikuwa mwimbaji wa kwanza nchini Rwanda aliyekamilisha wafuasi elfu mia tanu 500.

lsrael alihudhuria tamasha katika Ubelgiji

Tanga igitekerezo kuri iyi nkuru

pre-moderation

This forum is pre-moderated: your contribution will only appear after being validated by an admin.

Who are you?
Your post

To create paragraphs, just leave blank lines.