Kwa masauti mazuri tena matamu ambayo aliwatufanya kuimbe wimbo uleule wa watu wote kwa sauti tulivu wakisema "Heri Alisi".
Ni stori ambayo imewafurahisha watu wengi kwani ni baraka kuona wadada hawa wawili wakichanganya vipaji vyao na kupata muda wa kufanya hivyo huku tukijua wengi wao baada ya kujenga unyumba na kuwa wazazi hamna hawapati muda na jukumu la kufanya muziki.
Naomie anamshukuru Mungu kwa kwa kumuunganisha na Rose. Rose naye akimshukuru Naomie kwa kumpa tabasamu na wamefanya mradi huu huku wote ijapokuwa wana miradi mingine mingi ambayo watatumika siku zijayo
Rose na Naomie wataendelea kushirikiana katika miradi ambayo ni ya kipekee katika muziki kwa sababu wako pamoja
Anasema, “Naomie, tunafanya kazi pamoja kuuonyesha ulimwengu kwamba tuna uwezo na hatuta kata tamaa, katika kumtumikia Mungu.
Goma ni miongoni mwa waimbaji mahiri duniani na baadhi ya waimbaji wa nyimbo za injili (Gospel) hata za kilimwengu ambao wanafahamika kuwa wanatoka DRC wengi wao wanatoka Igoma.
Naomie & Rose