Ev. Jotham Ndanyuzwe alichapisha kitabu chake cha pili "Love Across All Languages" ambacho kimefikia nchi 45 duniani
Ev Jotham Ndanyuzwe akipumzika na kumsifu Mungu kwa kiasi kikubwa baada ya kutoa rasmi kitabu chake cha pili kiitwacho “Love Across All Languages” ambacho kimefikisha nchi 45 duniani ndani ya siku chache jambo ambalo linampa imani kuwa kitafika (…)